Ukienda Haja kubwa Unatoa Shahawa? Ukijikamua Kidogo tu Zinatoka...

@ItsMrHealth
Mr Health💊💉@ItsMrHealth
11 views Apr 09, 2025 ~2 min read
Advertisement
1
Ukienda Haja kubwa Unatoa Shahawa? Ukijikamua Kidogo tu Zinatoka Zenyewe..? Hii sio Laana, Sio uchawi.

— Ni Sauti ya Mwili wako Ukiomba Msaada —Na Leo Nimekufikia, Kwani Kupitia Elimu hii, Majibu Na Suluhisho yapo Hapa...

Open Thread:⤵
Media image
2
Tuanze kwa kumsikiliza huyu ndugu yetu, Jana asubuhi nilipokea DM yake, Nikasema elimu nitoe kwa wote...

"Mr Health kuna muda najikuta tu sperm zinatoka zenyewe... Wakati nimelala, au nikiwa najisaidia haja kubwa, hasa nikikaa nimedindisha mda mrefu. Zinatoka tu zenyewe. Sijui kama hii ni kawaida au shida, naomba msaada wa kitaalamu..."

↳ Bro, hii sio story ya mtu mmoja, Ni kilio cha wanaume wengi – waliochoka Ukimya...

More: ⤵
3
TATIZO LINAVYOJITOKEZA — (DALILI ZA KUTAMBUA) ...

↳ Ukienda haja kubwa, shahawa zinatoka bila hisia ya tendo.

↳ Ukiamka usingizini, nguo zimeloa – lakini haukuota ndoto yoyote ya ngono. (Ndoto pevu)

↳ Baada ya kukojoa, kuna ute unaotoka kama shahawa.

↳ Hata ukiwa umetulia tu, zinadondoka zenyewe ukijikamua kidogo, Zinachuruzika...

💥 Hii ni hali hatari, kitaalamu inaitwa...

"SPERMATORRHEA"
— yaani, shahawa zinavuja bila hiari, bila tendo, bila hamu. Na sio “ndoto pevu” – Ni mfumo wako wa uzazi Unakulilia....

More: ⤵
4
Kabla ya suluhisho nimuhimu kuzifahamu— sababu kuu za hali hii...

✔ Kudhoofika kwa mfumo wa neva – kutokana na stress, hofu, mawazo, punyeto ya muda mrefu, au kutazama porn.

✔ Misuli ya nyonga kulegea (pelvic floor weakness) – hasa ukikaa sana bila mazoezi au ukichelewa kuenda chooni.

✔ Upungufu wa virutubisho – kama zinc, B-complex, Omega 3, na protein safi.

✔ Tumbo kujaa gesi au choo kigumu – huongeza pressure ya ndani na kushinikiza tezi dume (prostate).

✔ Usingizi mbovu na mihemuko ya usiku – mwili unashindwa kudhibiti mishipa.

More: ⤵
5
SULUHISHO LA KITAALAMU— (BILA BOOSTERS)

✔ Acha kabisa punyeto na porn (Rebooting Phase),

✔ Fanya mazoezi ya Kegel kubana misuli ya nyonga,

✔ Kula mbegu za maboga, korosho, Almonds, mayai, samaki, maziwa,

✔ Lala mapema, pumzika akili, Punguza stress za maisha,

✔ Tumia muda nje, pata jua, tembea, punguza kukaa masaa mengi,

✔ Fanya detox ya tumbo – kula matunda yenye fiber, kunywa maji ya kutosha,

✔ Acha kula usiku sana, Punguza vyakula vyenye mafuta mengi,

🧘🏽‍Meditate. Tafakari. Njoo karibu na mwili wako tena. Usiusahau kwa sababu ya pressure ya dunia.

More: ⤵
6
Baada ya miaka ya mateso, Aibu, na kuishi kivulini – sasa kuna njia salama, ya asili, na isiyo na dawa wala madhara....

UBIDA ni program maalum niliyoitengeneza baada ya utafiti wa miaka 2 na mafunzo ya wanaume halisi waliopona.

Si kitabu TU— Na mfumo wa mabadiliko ya maisha unaorejesha nguvu zako za kiume kwa njia ya..

✔ Mazoezi maalum,

✔ Lishe bora ya kujenga nguvu ya ndani,

✔ Nidhamu ya akili na mwili, (Saikolojia Imara)

✔ Na msaada wa karibu kutoka kwa zaidi ya wataalamu watatu wa afya...

PS: Usingoje hadi uishiwe kabisa. Anza leo – kwa jina la mwanaume aliyeamua kupigania uume wake.

UBIDA – Urijali Bila Dawa. Tiba Asilia. Nguvu Halisi, Chukua Miongozo yako sasa kwa kufungua LINK— Hapo chini....👇

…-huduma-ya-afya-kiganjani.gr-site.com
Media image
Actions
What You Can Do
  • Export as PDF or Markdown
  • Batch Export to Notion
  • Bookmark & Highlight
  • Screenshot Tweet
Create Free Account

Includes 7-day Premium trial

Advertisement